Mkurugenzi  Mkuu wa Angles Moments  Naima Malima  akisoma risala ya kumkaribisha mgeni rasmi Mke wa Makamo wa Rais, Mama Asha Bilali katika ufunguzi wa  tamasha la Mwanawake weka akiba litakalofanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Dar live Mbagala.
  Mke wa makamu wa Rais Mama Asha Bilali ambaye alikuwa mgeni rasmi wa Tamasha la   Mwanawake weka akiba, akisoma hotuba  ya ufungunzi wa tamasha hilo,leo jijini Dar es salaam katika viwanja vya Dar live Mbagala.
 Mke wa Waziri Mkuu mstaafu Mama Esther Sumaye akiwasalimia wajumbe waliofika katika ufumbuzi wa Tamasha la Mwanawake weka akiba,Anayepiga makofi mbele ni mke wa Waziri Mkuu mstaafu Mama Regina Lowassa na Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilali.
 Mke wa Waziri mkuu Mama Tunu Pinda akitoa maelekezo ya jinsi ya kutumia asali kwa Mgeni rasmi mke wa Makamu wa Rais Mama Asha bilali katika Tamasha la Mwanawake weka akiba,leo jijin Dar es salaam.
 Mke wa makamu wa Rais Mama Asha Bilali ambaye alikuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Mwanawake weka akiba, akikata utepe ikiwa  ishara ya kufungua rasmi  tamasha hilo ,leo jijini Dar es salaam katika viwanja vya Dar live Mbagala.
 Washiriki wa tamasha la Mwanamke weka akiba  wakifuatilia kwa makini mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea katika viwanja vya Dar live Mbaggala. 
Meneja Uhusiano  na Masoko wa  Mfuko wa Pesheni PPF,Lulu Mengele akipokea tuzo ya udhamini  kutoka kwa  Mke wa makamo wa Rais Mama Asha Bilali katika tamasha la Mwanawake weka akiba,leo jijini Dar es salaam. 
Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...