Marafiki wa karibu wa familia ya marehemu wakiwa wamesimama kuupoke mwili wa marehemu Meja Mstaafu Isaac Chekingo ulipowasili nyumbani kwake Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa Juma.
Mtoto mkubwa wa marehemu (mwenye koti la suti jeusi) akijadiliana jambo na baadhi ya wanakamati wa msiba ulioongozwa na Afande Thomas Ndonde wa JWTZ.
Baadhi ya waombolezaji wakitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Meja Mstaafu Samwel Isaac Chekingo.
Mtoto mkubwa wa marehemu Samson Samwel Chekingo (mwenye miwani) akijadiliana jambo na wadogo zake kabla kuanza kwa misa ya kumwombea marehemu baba yao.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Meja Mstaafu Samwel Isaac Chekingo mara baada ya kuwasili nyumbani kwake.
Kwa picha zaidi na wasifu wa marehemu BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi na wasifu wa marehemu BOFYA HAPA
Samson ni mtoto wa pili kuzaliwa. Wa kwanza ni brenda then samson, ronald, canaan, cindy and andrew.
ReplyDeleteNa hao wamama wenye vilemba vyeupe ni mama zao..
ReplyDeleteR.I.P Captain. He truly was a nice man. Full of love and jokes
ReplyDelete