Pichani Balozi Grace MUJUMA na maafisa wa Ubalozi Mr Jeswald Majuva na
Mr Mogosi Munata wakizungumza na viongozi wa timu ya Twiga Stars Bw
Ahmed Mgoyi kiongozi wa Msafara na Bw Boniface Wambura walipofika kwenye
Ofisi Za Ubalozi wa TANZANIA Lusaka Zambia kabla ya pambano la mpira
litakalofanyika Leo Ijumaa tarehe 14.2.2014 kwenye Uwanja wa Nkoloma
uliopo jijini Lusaka.mpambano huo unategemewa kuwa mkali kwani pande
zote zimeonyesha nia ya kuibuka na ushindi.
Home
Unlabelled
MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...