Mdau Ruger Kahwa ambaye ni mkuu
wa ofisi ya United Nations Office for
the Coordination of Humanitarian Affairs(UNOCHA) nchini Papua New Guinea akiwa na balozi wa Papua new Guinea katika Umoja
wa Mataifa , Amb. Robert Aisi (kulia) na mwakilishi wa FAO nchini Papua
New Guinea(kushoto) mara baada ya
Balozi Aisi kufanya mazungumzo na PNG United Nations Country Team.
Home
Unlabelled
Mdau Ruger Kahwa akiwa na Balozi wa Papua New Guinea katika Umoja wa Mataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...