Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 10, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hi...Wadauz, hivi ofisi ya Ubalozi wa Israel hapa Dar iko wapi/mtaa upi? (naomba msaada Tafadhali)
ReplyDeleteubalozi wa marekani wa zamani
ReplyDeleteWadau hawa jamaa Ubalozi wao wapo Nairobi-KENYA.
ReplyDeleteHuyo Balozi akiwa Kenya ana simamia nchi za Kenya,Uganda,Tanzania, Malawi na Madagascar.