Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
Naibu Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama. Picha na Adam Mzee.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...