Home
Unlabelled
michepuko sio dili, baki njia kuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ujumbe inabidi huwe unafundisha, siyo kuogopesha. Kwa vyovyote vile iki kitendo wengi tutafanya. Ujumbe uliopo kwenye hii video mie naona ni wa kuogopesha badala ya kufundisha. Inabidi tufundishe, hata kama watu sio waaminifu kwenye uhusiano wao, inabidi wafundishwe ni jinsi ghani ya kujikinga. Takwimu zinaonyesha kwamba wale dada wanaojiuza(mfano: Huolanzi) hawapati magonjwa na mimba ovyo ovyo, ukifananisha na takwimu za na wanandoa, kwa sababu wanajua jinsi ya kujikinga. Sie Bongo,tunaambukizana magonjwa sababu ya destuli zetu, lakini imefika muda inabidi tubadilike tuanze kufundishana ukweli na sio vitishio vya kifo tu, kwani mauti inatukuta wote, huwe wa afya au mgonjwa. Tufundishane jinsi ya kuishi maisha marefu.
ReplyDeletesi umeshafundishwa usichepuke baki njia moja.
ReplyDeletesasa unataka nini tena?
CHEPUKA UONE!
Hongere Brother Kibonde kwa kufanya kazi ya kuelimisha jamii umuhimu wa kuwa waaminifu kwenye ndoa. Kitendo cha kuwa na mahusiano mengine nnje ya ndoa ni ishara kwamba watu wamemwacha Mwenyezi Mungu na kufuata tamaa za ulmwengu huu. Mwenye Maskio na asikie Siku ya mwisho kila mmtu atahukumiwa kadiri ya matendo yake, Nawashauri acheni hizo nnjia mbaya murejee kwa Mungu kwa nnjia ya toba naye atawasamehe.
ReplyDeleteMdau#2 WOW! (SMH) Mbona watu wanachepuka kila siku!? Vitishio vimesaidia nini, ndiyo umewabadili watu mawazo au kila kitu kinakwenda kwa amri? Toa maoni yako yawe fundisho kwa wengine siyo amri tu, kama auna maoni kaa kimya, siyo lazima uongee. Naanza kukubali kweli Bongo, "akili ndogo inaongoza akili kubwa"
ReplyDelete