Home
Unlabelled
Mjumbe wa Bunge la Katiba Mhe Maria Sarungi akichangia wa kuandaa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum mjini Dodoma Februari 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KATIBA NI YETU; KILA KITU KIWE WAZI HAPO MASAA ISHIRINI NA NNE. HAKUNA KUFICHA FICHA. UNAMFICHA MMILIKI SASA HII NI KIBOKO! KATIBA NI MALI YA KILA ANAYEISHI KATIKA ARDHI YA NCHI HII; SASA UNATAKA KUZUNGUMZA KWA FARAGHA FARAGHA YA NNE TENA WAKATI NI KATIBA YANGU.
ReplyDeleteFARAGHA TUNAYOIJUA NI MAMBO YA MTU BINAFSI NA SI VINGINEVYO.
Dada naomba upokee hongera zangu kwa kazi nzuri, umeweka "standard" kama watu wamekuja na agenda za ubabe, wajue kabisa hapo si mahala pake! Na tunaomba wanahabari watuhabarishe, tujue kabisaa 2015 ni nani tunampatia kura yetu. Waamshe hao wenye mawazo mgando kama alivyosema Prof. Ruth jana. Kama bunge litakuwa changamfu namna hii, hata wale wanaosinzia hawatapa huo muda. Mwisho nikuombe ujaze form za kugombea ubunge, kura yangu unayo.
ReplyDeleteMdau Canada
huyu mama nilimsikia kaongea point tupu chonde chonde rais wangu mpendwa kura ya.siri peke yake ndio democrasia wakikuzidi nguvu kura ya wazi kuna wajumbe wataogopa kutokana na vyama vyao mheshimiwa rais tukija tukapata katiba nzuri nakutabiria tunzo zile kubwa kubwa duniani zote utachukua na.rais mstaafu bora bora wa africa utachukua ww
ReplyDeleteDada yangu Umetisha sanaaaa...Aisee umeshusha darasa safi sana, kuna watu humo ndani ni mashabiki tu hawajui siasa. Dada yangu umetisha. BIG UP TEAM #changetanzania.
ReplyDeleteThat's my girl Maria, great job baby!
ReplyDeleteShule hiyo ndio inampa ujasiri na ufasaha wa mambo. Wabunge wengi hawana sifa hiyo. Safi Dada nasi tunakuja kukusaidia.
ReplyDeleteNi kweli Tanzania itajengwa na wenye moyo na Maria una moyo, tukipata waTanzania wenye uchungu na nchi yetu kma wewe kweli tutaweza nakuombea kila la kheri kwenye shughuli hii ngumu tukiungana nawe tutaweza, Change is coming!
ReplyDeleteHawa ndio watu wanaotakiwa kwenye karne hii kuwaelimisha wananchi wa Tanzania kuhusu haki zao za msingi zinavyochezewa na wababe wachache wenye madaraka.
ReplyDeleteMdau
Columbus, Ohio