Balozi wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo Georgetown, Washington, DC leo Ijumaa Feb 14, 2014.
Mkuu wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa kudumu wa AU nchiniMarekani, Mhe. Amina Salum Ali leo Ijumaa Feb 14, 2014 alipotembelea ofisi hizo zilizopo Georgetown, Washington, DC. Balozi Roble Olhayeanatokea Djibouti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...