Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (mwenye miwani) akiwapa pole ya kazi vibarua wanaofanya matengenezo ya barabara ya Morogoro-Dodoma eneo la Dumila ambalo liliathirika kwa mafuriko yaliyolikumba eneo hilo hivi karibuni, Mkuu huyo wa Mkoa mwishoni mwa wiki alitembelea eneo hilo kujionea matengenezo ya barabara ambapo alikabidhi msaada wa maji ya kunywa na Juisi kwa mafundi na vibarua hao.
Home
Unlabelled
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma atembelea dumila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...