Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Bama kuhusiana na suala zima la kuzingatia masomo na kuacha starehe, kwenye ziara yake juzi Wilayani Hanang' (kulia) na Mkuu wa Wilaya hiyo Christina Mndeme.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo (kushoto) akikagua mradi wa umwagiliaji maji mashambani, katika kijiji cha Endagaw Kata ya Endasak, kwenye ziara yake juzi ya kukagua shughuli za maendeleo Wilayani Hanang'.
Mbona huonyeshi shambalenyewe au bustani inayofaidika na mradi huo?. Haifundishi kitu kunionyesha jamaa wenye vitambi na masuti.
ReplyDelete