Timu hizo zilicheza Mchezo wa Kirafiki Katika Uwanja wa Mochwari mKoani Morogoro Mara daaba ya Timu ya Tanga Veterani Kufanya ziara ya Kudumisha Urafiki na Undugu walionao dhidi ya Timu ya Morogoro Veterani.Katika Mchezo Huo Wenyeji Timu ya Morogoro Veterani Walishinda kwa Jumla ya Magoli 2 kwa Moja.Magoli ya Moro Veterani Yalifungwa na Mokili Rambo dk 35 na 72 Wakati Goli la kufutia Machozi la Tanga Veterani Lilifungwa Dk 80.
Kikosi cha Timu ya Tanga Veterani Kilichoanza katika Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya Morogoro Veteran
Wenyeji wa Mchezo huo Timu ya Morogoro Veterani wakiwa katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...