Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo hakuna maendeleo endelevu coz anaharibu baiskeli sasa garama ya kununua baiskel mpya itakuwa kubwa kuliko faida anayotengeneza hapo. Overloaded

    ReplyDelete
  2. Ohhh Mjomba picha kama hizi zitawatisha sana ndugu zetu Majuu na watakataa hata kuja kutembea Tanzania wakiogopa shida na hali ngumu ya masiaha wakati huyo jamaa ni kama ananyoosha misulu tu kwa kazi nyepesi nyepesi ya kubeba matofali kwa baiskeli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...