Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey Zambi,Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi Zakia Meghji wakishiriki matembezii hayo yaliyofana kwa kiasi kikubwa jijini humo.Rais Kikwete ambaye ndiye mgeni rasmi wa sherehe hizo atahutubia leo mchana kwenye maadhimisho ya sherehe hizo zitakazofanyika katika uwanja wa Sokoine mkoani humo.
Rais Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto akiwa sambamba na baadhi ya watoto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey Zambi,Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi Zakia Meghji wakishiriki matembezii hayo yaliyofana kwa kiasi kikubwa jijini humo.
Baadhi ya vijana wakereketwa na chama cha CCM wakiwa na mabango yao.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete
(pilia kulia) akiwa tayari kuongoza wanachana na Wananchi (hawapo
pichani) kushiriki matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya
Soweto,kuelekea kwenye
bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini
Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya
kusherehekea miaka 37
kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa
CCM,Bwa.Phillip Mangula,wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa
Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey
Zambi,Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi
na Fedha,Bi Zakia Meghji pamoja na Waziri Ofisi ya Rais asiye na Wizara
maalum,Prof Mark Mwandosya wakiwa tayai kuyaanza matembezi hayo.
Rais
Kikwete akizungumza na baadhi ya watoto waliokuwa miongoni mwa watoto
waliojitokeza kushiriki matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya
Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja
wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha
maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Baadhi
ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakishiriki kuchukua matukio
yaliyokuwa yakijiri kwenye matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja
vya Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya
uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele
cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na
viongozi wa chama hicho ngazi za juu,pichani akisalimiana na Katibu
Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana na anaeshuhudia pichani kati ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM,Mh.Phillip Mangula,tayari kwa kuongoza
matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye
bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini
Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37
kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Mh. Hongera sana kwa kazi nzuri ya kijamii unayoifanya tunafurahia kuingia kwenye Blog yako, Naomba kupata picha za CCM Mbeya tulizopiga na Mh. Raisi. sisi ni wanafunzi wa Vyuo, tumeshindwa kukupata wakati ule ule. Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako wa karibu, Asante.
ReplyDeleteMy E-mail is (paul_obed@hotmail.com)