CHUO CHA RUNGEMBA MISSION, IRINGA, KINATOA NAFASI ZA MASOMO KWA MUHURA WA 2014 ,CHUO KINAFUNDISHA UALIMU WA SECONDARY NA WA SHULE YA MSINGI. CHUO KIMESAJILIWA NA NATE RGE/KLF/011T USAJIRI WA NECTA ,NUMBER YA KITUO CHA MITIHANI E643.
KWA MAWASILIANO ZAIDI :
MKUU WA CHUO:0763833021
MENEJA WA CHUO: 0763818244
KARANI:0677987906
NAFAZI ZA KAZI YA UALIMU CHUO CHA RUNGEMBA MISSION IRINGA CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE YA MSINGI NA WALIMU WA SECONDARI WALIO NA UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 2 NA KUENDELEA.
NAFASI ZA MASOMO YA SECONDARI IGAWA MISSION IRINGA INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MUHURA HUU 2014,KWA MAWASILIANO :
MKUU WA SHULE :0763818244
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...