Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana akimkaribisha Mama yake mzazi Regina Mlowe kuzungumza machache katika sherehe za kumkaribisha zilizofanyika katika ukumbi wa CCM wilaya ya Rudewa
Mama mzazi akiwashukuru wananchi wa Rudewa katika sherehe za kumkaribisha Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana.
baadhi ya wanachama wa CCM wakiwa katika sherehe za kumkaribisha Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana.
Mkuu wa Wilaya ya Rudewa Juma Solomon Madaha akizungumza wakati wa kumkaribisha Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana. (Picha zote na Denis Mlowe).
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana akicheza muziki na baadhi ya viongozi wa ccm wilaya ya Rudewa
Bwana Michuzi,
ReplyDeleteNaomba uwe unatumiaelimisha kuhusu jiografia ya nchi yetu. Rudewa ndo wapi na nini? Ni wilaya, kata, tarafa au ... N a siku hizi nasikia kuna mikao mipya. Wakati ninasoma kulikuwa na mikoa 20 tu.
Ahsante,
Mdau
Na sio sahihi ilivyoandikwa. Ni Ludewa na si Rudewa.Hii ni wilaya iliyopo mkoani Njombe
ReplyDelete