Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Nyerembe D. Munasa Sabi (kati) akikata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Usa River.Wakishuhudia kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Biashara kwa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB,
Richard Makungwa pamoja na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo .
Hafla ya uzinduzi wa tawi hili la NMB Usa River umefanyika mwanzoni mwa wiki
katika viwanja vya tawi hili mkoani Arusha.
Sehemu
ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huu wakifurahia
ufunguzi wa tawi jipya la NMB Usa River
Mkuu
wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Nyerembe D. Munasa Sabi akipata maelezo kutoka kwa
Meneja wa Tawi la NMB Usa River Bernadetha Mmary mara baada ya kuzindua tawi na
kulitembelea ndani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...