Meneja wa Tawi la NMB Mkwawa,Sumka Mbuba pamoja na Afisa Mikopo
Grace Ndosa wakishusha vyakula vyenye thamani ya shilingi milioni tano
kutoka kwenye gari ili kukabidhi kwa waathilika wa upepo mkali ulioacha familia
nyingi bila makazi na chakula katika kata ya Izazi mkoani Iringa. Msaada huo
ulitolewa na Benki ya NMB.
Maofisa wa benki ya NMB tawi la Mkwawa wakikabidhi sehemu ya msaada wa
vyakula kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa vijijini, Stevene Mhapa
(Pili kushoto). Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni tano ulitolewa na
benki ya NMB kwa waathirika wa upepo mkali ulioacha familia nyingi bila makazi
na chakula. Kutoka kulia ni Grace Ndosa, Sumka Mbuba, Sumka Mbuba, Focus
Lubende na Lucas Ndondole. Makabidhiano haya yamefanyika kijiji cha Izazi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...