Jumatano Februari 12,2014.
JKT Ruvu v/s Ruvu Shooting
---------------------
Jumamosi Februari 15,2014.
Rhino Rangers v/s Mgambo JKT
Ashanti United v/s Kagera Sugar
Mtibwa Sugar v/s Tanzania Prisons
JKT Oljoro v/s JKT Ruvu
Mbeya City v/s Simba
Ruvu Shooting v/s Coastal Union
MSIMAMO WA LIGI HADI SASA
NO
|
TEAMS
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
| Azam FC |
16
|
10
|
6
|
0
|
29
|
10
|
19
|
36
|
2
| Yanga |
16
|
10
|
5
|
1
|
34
|
12
|
22
|
35
|
3
| Mbeya City |
17
|
9
|
7
|
1
|
24
|
14
|
10
|
34
|
4
| Simba SC |
17
|
8
|
7
|
2
|
33
|
15
|
18
|
31
|
5
| Coastal Union |
17
|
4
|
10
|
3
|
12
|
8
|
4
|
22
|
6
| Mtibwa Sugar |
17
|
5
|
7
|
5
|
21
|
21
|
0
|
22
|
7
| Kagera Sugar |
17
|
5
|
7
|
5
|
16
|
16
|
0
|
22
|
8
| Ruvu Shootings |
15
|
4
|
7
|
4
|
16
|
16
|
0
|
19
|
9
| JKT Ruvu |
15
|
6
|
0
|
9
|
13
|
19
|
-6
|
18
|
10
| JKT Oljoro |
17
|
2
|
7
|
8
|
13
|
18
|
-5
|
13
|
11
| Ashanti United |
16
|
3
|
4
|
9
|
14
|
28
|
-14
|
13
|
12
| Mgambo JKT |
17
|
3
|
4
|
10
|
8
|
26
|
-18
|
13
|
13
| Rhino Rangers |
17
|
2
|
6
|
9
|
11
|
21
|
-10
|
12
|
14
| TanzaniaPrisons |
14
|
1
|
7
|
6
|
6
|
16
|
-10
|
10
|
Asante blog ya jamii:Msimamo ni sahihi kabisa nimechungulia tovuti kadhaa za vilabu kadhaa.
ReplyDelete1: Mabeki na kipa wa COASTAL UNONI,wanaonekana kuwa vizuri-Wameruhusu magoli machache kuliko timu yoyote kwenye msimamo au wanapaki basi la "RELWE"?
2:Waandishi wa habari za michezo naomba leo niwape neno kidogo.Zamani magazeti ya UHURU,MZALENDO,MFANYAKAZI,DAILY NEWS walikuwa wanaporipoti ligi ya bara(enzi hizo) mara nyingi walika na msimamo wa ligi.Siku hizi mara X amshika sharubu Y+blah blah blah, kwisha.Ni mara chache sana kukuta msimamo wa ligi kwenye magazeti yetu kwenye kurasa za michezo,yanaporipoti habari za ligi kuu.
3:Klabu ya Simba haina Tovuti?
David V
Kwa kiwango hiki mshindi wa Voda Premium League (VPL) Tanzania wanaweza angalau kuondoka na POINTI 50 (hamsini) kweli?
ReplyDeleteMaana ligi ya VPL Tanzania tayari imeingia nusu ya pili ya mzunguko na Azam FC ina pointi 36, je hii inaonesha ubutu wa mastraika wa ligi hii kuu ya Tanzania?!
Pointi 78 ni maximum points toka pointi 36 za anayeongoza ligi zinabaki pointi 48, je mshindi wa ligi yetu anaweza kuvuka zaidi ya jumla ya pointi 50?
Makocha , manazi, mashabiki hili jambo la ukame wa pointi nyingi inasababishwa na nini hasa?
Mdau
Barclays England Premium League