Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.DSC_0143Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa semina hiyo.
Maofisa wa Air Rwanda wakiwa wamepozi kwa picha.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Five Star Tours, Harry Pietersen (kulia), akimkabidhi cheti, mshauri wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Safeline Osbert Barongo baada ya kushika nafasi ya tatu kwa kutoa huduma bora wakati semina iliyoandaliwa na Rwanda Air kwa ajili ya mawakala wake jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Rwanda Air Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...