Mkurugenzi
Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion,Amoni Mkoga akizungumza wakati wa
semina ya wasanii wa Muziki pamoja na wale wa Filamu iliofanyika katika
ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam 21 Februari-2014. lengo
la semina hiyo ilikuwa ni kuzungumzia hakimili kwa wasanii pamoja na
kujiunga na mifuko ya jamii ili kujiwekea akiba ya baadae (kushoto),
Afisa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafiri Mbibo (watatu
kulia), Kaimu Afisa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka na wakwanza kulia Kaimu Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasilano,Promosheni
na Uhamasishaji wa Mfuko wa Uthibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii
Nchini (SSRA), Sarah Kibonde akiwaelezea wasanii kuhusiana na mifuko
mbalimbali ya hifadhi ya jamii kama NSSF,PSPF ,LAPF,GEPF,PPF,NHIF juu
ya faida pale watapofikia muda wakustaafu kazi kisanii au kupatwa na
matatizo mbalimbali. (katikati), Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya
(kusho), Kaimu Afisa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.
Afisa
Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafi Mbibo akiwaelezea
wasanii mwongozo wa utumiaji mashine maalumu za kodi za kielekitroniki
(EFDs), wakati wa semina ya hatimiki kwa sanii mbalimbali wa bongo movie
pamoja na muziki.
Kaimu Afisa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.akiwaezea wasanii jinsi hakimiliki na mikataba katika kazi za sanaa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...