Pichani ni Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar),ambaye ametangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za MichezoTASWA.
Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari ambaye ndiye mtoaji fomu Bw.Hussein Makame.
Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akipokea fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari ambaye ndiye mtoaji fomu Bw.Hussein Makame. Picha na Eliphace Marwa, Maelezo
kwanini mtu mwingine amchukulie mtu fomu?
ReplyDelete