Shamba hili LIMEPIMWA
Ukubwa: Area 70,587m2 (SQM) Approx. Heka 18.
Eneo: Kifude, Makurunge, Bagamoyo.
Umbali: Shamba lipo 17km kutoka Bagamoyo mjini kuelekea barabara ya Msata, 3km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo – Msata kuingia ndani ya shamba.
Mazao yaanayoweza kupandwa: Mananasi, Mahindi, Mihogo, Miwa, Alizeti na kadhalika…
BEI: Milioni Arubaini na Tisa (49m).
Wasiliana na 0715766555

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...