Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Joyce Mwakisyala (katikati )akipokea maoni ya Utafiti
kuhusu Tasnia ya Filamu Tanzania kutoka kwa Rais wa Shirikisho la
Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa kwanza kulia,
kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo
Rais
wa Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa
pili kutoka kulia akionyesha maoni ya
Utafiti kuhusu Tasnia ya Filamu
Tanzania wa Kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Sanaa Bi leah
Wasanii msikalie kufanya usanii tu nendeni shule mkasome kwani nyingi ya kazi zenu zinamakosa kwenye lugha ya kiswahili, ni aibu kuona picha mpya inatyoka na jina la UWADILIFU! AU UWA LA .....lakini mbaya zaidi mnaposahihishwa hampendi mnaona kama mnachukiwa.
ReplyDelete