Tunamtafuta Bibi Husna ambaye asili ya kimalaysia, aliolewa na Mtanzania Baba yake ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa ni Bw. Said Abdullah Belwal.
Kwa taarifa Husna ni Muuguzi (Nurse) ila haifahamiki hospitali gani na mji gani.
Mume wake ni Mwanajeshi na ndoa yao ilifungwa kijeshi. Tafadhali atapopata tangazo hili au yeyote mwenye taarifa zake awasiliane na namba hizi
Mob: +60102987357
Tel: +60342517603
Kuala Lumpur, Malaysia
Email: apoloniamwangosi@yahoo.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...