Home
Unlabelled
TAMKO LA MAMLAKA YA KODI YA MAPATO (TRA) KWA UMMA KUHUSU MASHINE ZA EFD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TRA jaribuni kuendana mifumo ya maelewano kwa kumshirikisha mdau wenu, kwenu ni wafanyabiashara. Mifumo ya masoko ya sasa ni kwamba unakaa na mdau wako kutengeneza bidhaa ambayo anaitaka au rahisi kwake kutumia. Inawezekana kwenye mashine hizo kuna kitu ambacho mfanyabiashara hataki, basi kaa jadilini mlete mashine zinazofaa.
ReplyDeletewafanyabiashara nanyi mkubali mabadiliko hatuwezi kutumia mikono wakati mashine za kurahisisha kazi zipo. Lazima electronic devices zitumke kwa hii Dunia ya sasa, cha kufanya kubalianeni ni nyenzo zipi zitumike sio tena manual.
Kwa kuwa jambo hili limeonekana kuleta utata kati wa mamlaka ya mapato na wafanyabiashara, mimi nashauri kuwa serikali iwe serious na jambo hili. Kwa kuwa hizo EFD machine zinakusudiwa kukusanya kodi toka kwa wafanyabiashara, mnaonaje kama mamlaka ikazisambaza machine hizo bila malipo ili ziwakusanyie kodi zenu? Hata mkuu alisema kuwa ukitaka kula vya watu lazima na wewe uwe tayari kuliwa. Haiwezekani kuwa na mfumo wa chako ni chako, cha wenzio nacho ni chako
Deletewamezoea kutokulipa kodi hao wala sio tatizo la mashine!!sasa wanaona watabanwa!!
ReplyDeleteKila mtu anatakiwa alipe kodi na muda wa kupata vya bure umepita. Hatuwezi kuwa tunategemea kutupiwa masalio kila mwaka wakati uwezo tunao. Wafanya biashara wanaokataa kufuata sheria hii wanyang'anywe leseni zao na wakitaka kuziomba tena ichukue miaka 5.
ReplyDeleteWafanyabiashara wa Tanzania wengi wao ni wakwepaji kodi wakubwa, sasa nyundo inawashukia wanataka kuishika rehani serikali yetu. Hakuna kurudi nyuma kama kweli tuna nia njema na nchi yetu TRA kazeni uzi, na mkiacha wachache watubuluze tutafika pabaya.
ReplyDeleteKODI NI LAZIMA SIYO OMBI.Mdau wa 4 nakuunga mkono,nimekuwa nalisemea hili.Kwanini TRA mnang'ang'ania wafnybshr wazinunue?Si mnataka ziwakusanyie kodi?,zigaweni bure,mfanyabiashara anaweza kuweka deposit tu kiasi fulani kwenu,akifunga biashara anakuja anachukua deposit yake na hiyo mashine anapewa mtu mwingine.Akipotea nayo deposit yake ndiyo imeenda hivyo.Mashine inanunuliwa ,mfano, laki 8 halafu kwa mwaka inakusanya milioni 5(mfano)-what do you want you guys of TRA.?
ReplyDeleteShusha bei za hivyo vimashine, au hata toa bure, full stop! Hakuna asiyejua kuwa ana wajibu wa kulipa kodi!
ReplyDeleteIli swala linagubikwa na utata kutokana na kubobea ktk utamaduni wa kutokulipa kodi na vilevile inawawia ngumu kwa wafanyabiashara ambao walishaweka mazoea ya kula kodi ya VAT au kuwasilisha mapato kiasi..
ReplyDeletetatizo wananhi hawana imani ni tra ndio maana
ReplyDelete