
Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.

Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzie Zitto Kabwe(kulia) na Albert jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.

Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo na jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko. Picha na MAELEZO-DODOMA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...