Tawi la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho, Kulikuwa na hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama iliyosomwa na mwenyekiti wa tawi bwana Maftah na mambo mengi kama kula chakula kucheza ngoma na muziki kutoka kwa Dj Paul Masoud wa Boston.
Mgeni rasmi akiingia ukumbini hapa akisindikizwa na viongozi wa tawi la CCM New York.
Viongozi wakijiweka sawa kwenye meza kuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...