Taswira za University of Dodoma (UDOM) kutoka angani. Ukitaka mengi toka chuo hiki ambacho ni mojawapo ya vyuo vikubwa katika Afrika Mashariki na ya kati BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
TASWIRA ZA UDOM KUTOKA ANGANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Taswira inavutia sana hii jamani. Hongera Tanzania kwa kuwa na chuo kikuu kizuri na cha kuvutia. Ila tubarabara huto twa vumbi tunaharibu show or taswira ya chuo. Ikiwezekana tukarabatiwe kwa kuwekwa lami au kusakafiwa hata kwa zege basi. Well done Tanzania pole pole tutafika kama wenzetu.
ReplyDeleteNi hatua nzuri ya maendeleo!
ReplyDeleteKinachobaki ni kuzitawanya Huduma za Elimu ya juu zisiwe zimeegemea sana UDSM peke yake mambo mengine yanatakiwa yawepo UDOM ambayo UDSM hayapo.
mbna huduma zishatawanywa kibao kwa mfano udsm hakuna taaluma ya madaktar udom wapo vile vile udsm hakuna bcom in international bussines udom ipo but tofaut ya udsm na udom kubwa ni watu wanaokwenda kusoma coz udsm asilimia kubwa ni cream ya Tanzania hii na nikisema cream namaanisha watu wenye uwezo katika mitihan ya kumaliza elimu ya sekondar dats y huwez shangaa kuona udsm inakua top ten za vyuo bora africa karbia kila mwaka na tatizo la udom chuo kimekaa kisiasa siasa sana kwa upande wa management yao
ReplyDeleteNa matokeo yake utasababisha baadhi ya nyanja kulegalega katka nchi yetu so mm ningeshaur udsm kiwekwe kila kitu ili Tanzania ipate manufaa kutokana na creams mbal mbal walioshehen udsm na wanakosa hzo coz muhmu kama udaktar na international bussines
ReplyDeleteTaswira nzuri ya UDOM, niliwahi kusafiri na watu wa nje waliofanya mkutano UDOM wakati wanafunzi wakiwa likizo, wakasema chuo kizuri lakini maji ya shida ya kuchota na ndoo. UDSM kwa miaka mingi ilikuwa na shida ya maji ikatatuliwa. UDOM nayo ifanyiwe kazi.
ReplyDelete