WABUNGE WAKIPITIA RASIMU YA MAPENDEKEZO YATAKAYO TUMIWA NA KIKAO CHA BUNGE LA KUJADILI RASIMU YA KATIBA MARA BAADA YA KUWASILISHA NA MWENYEKITI WA KAMATI ILIYO ANDAA RASIMU HIYO PROF.OSCAR MAHALU.PICHA NA DEUSDEDIT MOSHI WA GLOBU YA JAMII, DODOMA
MJUMBE AKICHANGIA. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...