Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA (kati, gauni la njano)  na maafisa wake walipokutana na viongozi wa timu ya twiga stars na wachezaji wa timu hiyo kwa chakula cha jioni nyumbani kwa Balozi baada ya mpambano mkali na mgumu uliofanyikana kwenye Uwanja wa Nkoloma jijini Lusaka Zambia. Twiga stars ilifungwa bao 2-1. 
Kocha wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage alisema amebaini upungufu katika kikosi chake ambao ataufanyia kazi kabla ya mechi ya marudiano ili timu yake iweze kusonga mbele. 
“Kwa matokeo haya bado tuna nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi ya marudiano nyumbani na kusonga mbele,” alisema Kaijage.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...