Mhe Spika Anne Makinda akikagua kazi baada ya ufungaji wa Vito ndani ya ukumbi huo kukamilika.Mwingine pichani ni Mkandarasi Dr.David Zachariah wa Computer Consult ambao ni wakandarasi wa mradi huo wa ufungaji viti.Vito hivyo ni mahsusi kwa matumizi ya Bunge la Katiba.
Viti vipya tayari kwa matumizi ya Bunge Maalum la Katiba.
Dr David Zachariah wa Computer Consult akimtambulisha mtaalamu wake wa mradi wa Viti,Bw.Sidney Robson kutoka Afrika Kusini.Mradi huo umekamilika tayari kwa matumizi ya Bunge la Katiba. Picha kwa hisani ya Ofisi ya Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Gharama kiasi gani? Mbona Uncle unatoa habari nusu?

    ReplyDelete
  2. Je naweza kupata ufafanuzi wa tofauti kati ya viti vya bunge la kawaida na viti vya bunge la katiba?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...