Mwanamke akisikiliza radio |
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Teknolojia, UNESCO linajivunia harakati zake za kuleta usawa wa kijinsia kupitia mafunzo yake ya kuziwezesha radio hususan zile za kijamii kwenye nchi zinazoendelea.Miongoni mwao ni zile za nchini Tanzania ambapo katika mahojiano na Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili Redio Umoja wa Mataifa
Mratibu wa Mawasiliano wa shirika hilo kwa Radio za Kijamii Al Amin Yusuph anaanza kwa kueleza kile walichofanya na kuleta mabadiliko chanya kwa watendaji wa Radio hizo na jamii zinazozizunguka.
(Mahojiano)
Kusikiliza bonyeza hapa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...