Wadau John Kasuka na Salome Joseph wameremeta katika
kanisa la KKKT Kilwa Masoko mkoani Lindi na baadaye kusherehekea katika mnuso wa nguvu
katika ukumbi wa PEC hotel(kwa sultan) Kilwa
Wadau John Kasuka na Bi salome Joseph wakiwa na nyuso za furaha
baada ya kumeremeta
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa Addoh
Mapunda ambae ni mwajiri wa bwana harusi akiwapongeza vijana wake
Maharusi wakielekea beach kupata taswira za kumbukumbu
Ni wakati wa kuvalishana pete za kuemremeta kwao
Kasuka na Salome wakiwa katika Taswira ya kumbukumbu na
wanakamati walioandMnuso huo. Globu ya Jamii inawapongeza na kuwatakia maisha ya heri na ya furaha na yenye watoto kibao.
Picha na Abdulaziz Video, Lindi.
Hapo Beach ukiachana na shela ya bibi Harusi ni capeti au beach haina matunzo.
ReplyDeleteNi muhimu wa Watanzania wenzangu kujua thamani za Beach
huyo jamaa mwenye koti jeupe mbona kama anampiga picha mwenye microphone??
ReplyDeleteHongera saana mkuu nakupa big up kuachana na ukpel a. Kilwa pamekaa vibaya kama huna chako.
ReplyDeletePeter Kivinje
Nimependa make up ya bibi harusi.Imeendana na rangi yake. Mungu awabariki
ReplyDeleteHongera John tulikuwa pamoja, tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja. Mungu awape maisha marefu.
ReplyDelete