Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia) wakibadlishana mawazo mjini Dodoma wakati wa semina kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma juu ya umuhimu wa kuwa kitu kimoja katika kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya kwenye mkutano huo. Wengine katika picha ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(katikati) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia)
Mmoja wa Wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Doroth Malecela akichangia mjadala jana mjini Dodoma uliandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform kwa lengo la kuwaelimisha wanawake wajumbe juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.
Mmoja wa Wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Ruth Meena akisititiza jambo wakati wa mjadala mjini Dodoma uliandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform kwa lengo la kuwaelimisha wanawake wajumbe juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.
Mmoja wa Wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba anayewakilisha wakulima wadogo Veronica Sophu akisititiza umuhimu wa kuwepo na usawa kwa wakulima wakati wa mjadala mjini Dodoma uliandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform kwa lengo la kuwaelimisha wanawake wajumbe juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah akihutubia
Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda akifungua semina mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.
Sehemu ya wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma
PICHA NA MAELEZO, Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...