SAWE AKIWAONESHA WANAFUNZI AINA YA MALIGHAFI YA HOPS INAYOTUMIKA KUTENGENEZEA BIA. |
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (kulia), akitoa maelezo jinsi mitambo ya kuchuja bia inavyofanyakazi wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao.
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kulia) akiwa na Mkufunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Nassoro Sekiuye (kulia kwake) pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...