Waandishi wa Umoja wa Waandishi wa Habari mkoani Mbeya wakizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa sherehe fupi za kupongezana kwa kazi nzuri wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM lakini pia usiku huo ulipewa jina la Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari.
 Wasanii wakongwe wa tasnia ya filamu Tanzania nao walikuwepo kutoka kushoto ni Baba Haji, JB na Rich.
 Kila mtu maarufu alikuwepo kwenye tasnia ya sanaa za maigizo na filamu.
 Malkia wa Taarab nchini Hadija Kopa akitoa vionjo vya nyimbo yake mpya ambacho kinasema hata Obama anamjua.
Katibu wa NEC Itikadi na Unenezi wa CCM Nape Nnauye akiimba sambamba na band ya TOT wakati wa usiku uliopewa jina la usiku wa Wasanii na Waandishi wa habari.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaptain Komba, Nape -please loose weight. You are knowledgeable people and you know this. Westerners wana-struggle sana na athari za overweight and obesity, na magonjwa yanayoendana nayo, lakini Bongo wana-speedup kujinenepea. The leading cause of death in the next two decades haitakuwa mbu na ukimwi tena bali ni unene. With the poor public health system ya Tz sijui tutafanyaje. Prevention is better now, than later. You have all the organic foods there, and ways to stay active,why mnanenepa hivi?? Mgambo, mchakamchaka,etc virudishwe vyoote. this is too much. Be a role model tafadhali

    ReplyDelete
  2. weewe anonymous hapo juu utaitwa Una wivu bure. Wenzio hela imekubali ndio unene. Sasa watu watajuaje?

    ReplyDelete
  3. Multitalent Nape. Go Nape go!!!

    ReplyDelete
  4. Unene Bong = pesa nyingi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...