Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi.
Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa shule hiyo. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hapa ni kizungumkuti...nafikiria wazazi kwa kushindwa malezi...nafikiria shule kwa kutumia njia mbovu ya kuwa descipline watoto (mlinzi hawezi pewa jukumu la kutandika mtoto)

    Mwisho wa siku nafikiria shule nzuri ya kupeleka watoto wangu...

    Mana ukizingatia watoto muda mwingi wanamalizia shule it matters a lot kind of school atayosoma...obviously not this one.

    ReplyDelete
  2. Ila kwa uharibifu walioufanya nina wasiwasi kama elimu imewabadilisha.

    Pande zote mbili Uongozi wa shule+wanafunzi nani chanzo cha tatizo? mh...

    ReplyDelete
  3. Uongozi wa shule pia uchukuliwe hatua za nidhamu kuruhusu watoto kufanyiwa vitendo vya ukatili kama hicho cha kupigwa na shoka...Hivi Wizara ya Elimu iko wapi,mnatoa vp usajili kwa shule zinazoendeshwa kihuni namna hiyo? Siku hizi hata Ukaguzi hamfanyi? What a rotten system, mama mia!..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...