Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya (wa pili kushoto) akiambatana na Mkewe Mama Lucy Mwandosya (pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mh. Francis Mwaipaja (kushoto) na Mkewe Mama Mwaipaja,wakati Waziri Mwandosya alipotembelea makumbusho ya Genocide ya Rwanda (yaliyotokea Mwaka 1994).
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya (wa pili kushoto) akiambatana na Mkewe Mama Lucy Mwandosya wakiweka shada la Maua kwenye moja ya kaburi pamoja la watu waliofariki wakati wa Mauaji ya Kimbari yaliyotokea Mwaka 1994,nchini Rwanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...