Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Wawekezaji aliofuatana nao katika ziara ya siku moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja.
Wawekezaji katoka Nchini Uholanzi wakizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pamoja na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ziara ya siku moja.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Bam International nchini Uholanzi Bw.Boaz Neugebauer, alipkuwa akiuliza masuala wakati wa mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mawaziri wake na Ujumbe wa Wawekezaji Kutoka Uholanzi ukiongozwa na Waziri wa wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,(katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi,Makatibu na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uholanzi baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...