Mchezaji wa Yanga, Juma abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega.
Mshambuliaji
wa Yanga, Emmanuel Okwi akimpiga chenga kipa wa Ruvu Shooting, Abdalah
Ramadhan na kuipatia timu yake bao la 3 kwa timu yake.
Dogo huniwezi.................
Sasa naenda kufunga......
Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhani akiwa ameshika kiuno baada ya Okwi kupachia bao.
Washambuliaji
wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia), na Hamis Kiiza wakishangilia moja ya
magoli waliyoifungia timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0 (Picha zote na Francis Dande)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...