Afisa Mkuu wa Viwango Jumuiya ya Africa Mashariki Willy Musinguzi akielezea changamoto wanazokabiliana nazo juu uzibiti wa bizaa zisizo na viwango katika Mkutano wa bodi ya ufundi ya nchi za Africa (EASC) uliofanyika Zanzibar Beach Resort nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akifungua Mkutano wanne wa kujadili juu ya viwango na uzibiti wa ubora kwenye bidhaa, uliofanyika Zanzibar Beach Resort nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

 Wajumbe wakimsikiliza wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (hayupo pichani) katika Mkutano wa bodi ya ufundi ya nchi za Africa (EASC) wakujadili viwango na uzibiti wa ubora kwenye bidhaa uliofanyika Zanzibar Beach Resort.

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (wakatikati) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wanne wa kujadili juu ya viwango na uzibiti wa ubora kwenye bidhaa, uliofanyika Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...