KATIBU WA CCM KUTOKA MTWARA,NDUGU SHAIBU AKWILOMBE AMBAYE PIA ALIWAHI KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA,AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA HADHARA WA KAMPENI YA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA,KATIKA KIJIJI CHA KIKOMBWE,IRINGA VIJIJINI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ndugu kiongozi umekalia kutoa matusi an kejeli kwa CDM badala ya kutoa ushawishi utawatoa vipi hao wananchi wa kalenga kwenye dhiki an umasikini, kweli siasa zetu bado sana njaa itatuuwa wachumia tumbo na nyumba ndogo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...