Ankal akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Riziki Said Lulida bungeni mjini Dodoma. Mjadala wa rasimu ya kanuni za bunge hilo bado unaendelea, ambapo kinachofuata ni uchaguzi wa Katibu wa Bunge hilo na naibu wake ambao wataapishwa na Rais. Kisha Katibu huyo wa Bunge maalum atamwapisha Mwenyekiti wa Bunge atayechaguliwa ambaye naye atawaapisha Wajumbe wote. Baada ya hapo Rais atazindua Bunge na kazi rasmi ya kupata katiba mpya itaanza.
Home
Unlabelled
ankal akiwa bungeni dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...