Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. hahahaaaaaa Benja unaua!

    ReplyDelete
  2. Yaaani we acha tu. Hivi Benja umeoa?? Natamani kuwa mkeo

    ReplyDelete
  3. that's bragging brother

    ReplyDelete
  4. Wawekezaji hao. Diaspora wanahitaji dola 25,000 wakatie waache kuchangishana bwanaaaaa

    ReplyDelete
  5. Ankali mpeleke Benja Feri kwa akina mama Ntilie akalichape dona la Kikwete kwa dagaa mchele!

    Sasa wewe Mjomba unapokea mgeni muhimu kama huyo halafu unampeleka Serena Hotel na Kilimanjaro Hyatt Regency ?

    ReplyDelete
  6. haha haha mdau hapo juu anachekesha anadhani kuchangisha ni umaskini. njoo uone nchi zenye pesa zao zinavyofanya mamabo makubwa kwa kuchangishana NGO kubwa kubwa unazoziona hapo amabazo nadhani unazimezea hata kupata kazi zake zinachangisha kidogo kidogo na hatimae kitu kizima. Kuchangishana si kwamba huna hela halafu kuna watazania wengi tu wenye uwezo mkubwa wa kuwekeza hapo Tanzania na kwa taarifa yako wana makampuni makubwa tu hata nje si kama busha kwa taarifa. naomba mdau aelimike kuchangishana si umaskini.na ndo maana utakuta kwenye arusi eti mtz akisimama kutoa ahadi utadhani mashindano .bado hatujajua thamani ya pesa TZ ulimbukeni.kejeli eti kuchangisha 25,000 anaona noma. mmmmh

    ReplyDelete
  7. wewe mdau kuchangishana ni mambo siyokuwa na msingi. Umegusia harusi, yaani hilo na wewe unaona la maana? unachingia harusi mtoto wako hana ada ya kwenda shule sasa hapo akili? Tuache mambo ya kuchangishana kwenye mambo yasiokuwa na msingi. Changieni elimu, barabara mnapokaa huwezi pita mvua ikinyesha changu mtengeneneze sio kuchangia semina elekezi ambazo hazina umuhimu wowote.

    ReplyDelete
  8. Kumbe wahaya huwa tunawaonea tu maskini kwa kuwa walitangulia kupata exposure. Sasa hapa first class na economy class zinatusaidia nini? Siku zote huwa tunawanyooshea vidole viongozi wetu. Huyu Benja Mwaipaja ukimpa uongozi itakuweje huyu?

    ReplyDelete
  9. Benja na mbwiga wa clouds nani mkali?

    ReplyDelete
  10. mhhhh huyu mtu wenu huko huko mjn

    kama kweli n mwana daspora muulize je yeye nu memba wa SAIGON CLUB au PAN AFRCA CLUB?

    ReplyDelete
  11. sijatosheka na benja tuwekee video nyingine.nimefurahi kumuona benja yupo bongo.

    ReplyDelete
  12. Ukiwa unafuraha sana au unaongea ili uwafurahishe watu na hasa ukiwa "emotionally charged" ni rahisi sana kuwa na maneno ya kejeli au matusi na dharau; ikiwa una imani katika MUNGU utaita "maneno ya kukufuru"...hivi kweli ukiwa na viji-senti vya kubadilisha mboga na angalau ukapanda ndege "Premium World/Business Class" unaweza kweli ukawadhalilisha wengine wote wanaopanda Economy Class eti kama wako kwenye msiba/wako kwenye uchaguzi?

    Ukiwa umebarikiwa jitahidi mara nyingi kuwa mnyenyekevu acha hizo kejeli/matusi ..... kila mmoja kwa namna moja au nyingine anaweza kufanikiwa ki-uchumi na siyo lazima akifanikiwa kiasi kikubwa vile eti awaone wengine wako kwenye msiba tu kwavile wako Economy Class?....sikuifurahi sana hii phrase ya huyo m-diaspora wa kijiwe. He needs to be humbled!

    ReplyDelete
  13. Watanzania, utawajua tu.....

    ReplyDelete
  14. mdau uliyesema kuhusu Pan Africa club au Saigon hebu tombe radhi sie

    huyo bin yamim ni mtoto mdoo sana na hawezi kujua significance ya vilabu hivi.


    kwanza ili kujua kama anaweza kupass mtihan muulizeni kama ni SIMBA au YANGA?

    akisema ni SIMB bas kundi lake huyo ni la SALAMANDER na sio huku Kariakoo....na kwa accent yake tuu huyo sio wa kwetu kabisaaa ikuna big possibility katokea bara...hivyo kwenye vikao vyetu hawezi kutia neno


    Pia siku akivaa kazu tutajua kama ni mwenzetu au la ....maana wenyewe tunajua kwa uvaaji wetu wa kanzu kofia (kofia za ki Oman na za dukani) ni kielelezo pia hiyo ni wa wapi...sisi tunavaa kofia za mkononini


    lakini mindhali ni mzungumzaji ningependa kumsikia akihojiwa walau kwa 30 mins ili atuambie experience yake ya huko marekani

    Na kama ni wetu bas haina namna maana tunao wengi tuu kama akina MOHAMMED GEORGE na akina PAUL SOZIGWA hivyo tutamkubali na kumpeleka Mangesani kwa shaabudu, bagamoyo akatembelee makaburi ya wazeee


    Si haba kuona mzaramo alosoma kama huyu. Hvyo angekuwa hajasoma ingekuwaje maana hii nyodo kuliko jamaa zangu wa kule juuuu


    inshaallah baaein

    ngoja nikale ishaaa

    ReplyDelete
  15. Benja , mkali wa kijiwe !
    Mimi Naona ni MBWEMBWE za safari ya Bongo !
    Anawaza maeneo, jamaa kawa miss sana ! Atapoa tu, acha amalize kuchanga karanga !
    Ongea Benja utoe ma frustrations ! Mdomo wako hauna vati !
    Box oyeeeee! Box Juuuu !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...