Kadi mpya ya malipo ya matibabu katika Hospitali ya KCMC inavyoonekana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC.Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC badala ya fedha taslimu.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB, wakiwa katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkurgenzi wa benki ya CRDB tawi la Arusha, Chiku Issa na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Mikopo Mikubwa, Philip Alfred.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
wangeweka mfumo mzuri wa ki electronic unaoruhusu kadi za VISA, MASTERCAD nk zitumike ili kuwarahisishia watu wengi zaidi katika kulipia kuliko kuweka kadi ya CRDB tu.
ReplyDeleteBongo bado tuna shida sehemu nyingi huwezi kulipia kwa kadi mpaka uwe na cash