Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa akisalimiana na vijana na wananchi kwa jumla baada ya kuwasili leo katika kijiji cha Elandutwa, katika jimbo hilo, Iringa Vijijini kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akimnadi Mgimwa katika Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini, leo.
Wananchi wa Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini wakionyoosha mikono kuahidi kumpa kura zote Mgomwa katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo.
Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika kijiji cha wafugaji cha Elandutwa, Iringa Vijijini leo.
Kinamama wa Elandutwa wakimshangilia mgombea wa CCM katika mkutano wa kampeni.
CCM!, CCM!, CCM!,
ReplyDeleteCCM oyeeeeeeeeeee!
Mgimwa Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Chadema kwa aibu wamehama Jimboni Kalenga wamekimbilia Iringa Mjini wameogopa kupata Kura sawa na Namba ya kiatu isiyozidi 12 !
Godrey Mgimwa DUME!!!
Godfrey Mgimwa mchezo?