Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akimuinua Mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana pamoja na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiwapungia mkono wananchi wa Jimbo la Chalinze na WanaCCM waliofika kwa wingi kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Toka hizi kampeni za Riz zianze navutiwa sana na huyu mpiga picha. He/she anajua anafanya nini. Keep it up.

    ReplyDelete
  2. Good on you young man RJK. Is Chadema et al not wasting there time. Guys I think Katiba should just say if a CCM member quits etc his seat then another CCM member should take over without all these elections. We are wasting too much money which can be used to fund 10,00 new Seconday Schools. I am not joking. Do your maths, this is a true story.

    ReplyDelete
  3. In view of the existing rules of the game and the associated structure, it is impossible for any other party to effectively compete.

    ReplyDelete
  4. Yaani hapa CDM msitie mguu kabisa kwani hata 0.00000000000001 ya kura zote hamtapata. Wekeni mgombea tu ili kukamilisha demokrasia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...