Home
Unlabelled
CLARAH - MWANAMKE ALIYEPIGANIA HAKI MAHAKAMANI BILA KUKATA TAMAA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
pole sana Clara. Hi ni hali ilivyo ya maisha ya wanawake watanzania. yataka moyo kufuatilia mambo haya. Bahati yako wewe Clara umepata wengi wako upande wako. Wenzio huwa wakipata matatizo wanatekelekezwa.
ReplyDeleteMimi na kupongeza sana wewe pamoja na Wanawake Live kwa hili somo la leo. Nilichojifunza mimi ni
1. Kuwa muwazi linapotokea tatizo, kuhakikisha maelezo yako sawa bila kupaniki.
2.Kukataa njia za mkato, rushwa haijengi inabomoa.
3. Kujiamini na Kumwanini mola ambaye ndie msimamizi wa haki.
4. Kufanya kazi kwa bidii na kujiendeleza siku zote.
5. Kuwafahamisha wale unaowaamini unapokuwa na tatizo kwa maandishi ikiwezekana. ili iwepo rekodi ya lile linaloendelea.
Asante na Mungu akubariki
But what you did is technically considered as THEFT.
ReplyDelete