Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakikata utepe kuzindua barabara 5 za mradi zikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni
Takao-Pandani,Finya- Mzambarauni,Karimu-Finya- Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa
wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za
Millenia MCC.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,kwa pamoja wakibonyeza kitufe
kuashiria uzinduzi rasmi wa Bara bara 5 za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba
ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia wa Watu wa
Marekani (MCC) hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Gombani wilaya ya Chake
chake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na
Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha
Changamoto za Milenia Tanzania Bw.Bernard S.Mchomvu,katika uzinduzi wa Mradi wa
Barabara 5 zilizojengwa na Mfuko huo wa
Mcc Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,(kushoto) wakipata maelezo ya
ramani ya michoro ya ujenzi kutoka kwa Mkurugenzi
wa miradi ya Usafirishaji (MCA-T) Eng Salum I.H.Sasillo,alipofika kuzindua
Barabara 5 za Mradi Mkoa wa Kaskazini Pemba zilizojengwa kwa udhamini wa Mfuko
wa Mcc.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...